Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 532 Reaction score 506 Thursday at 6:58 PM #1 Nenda kwenye mashamba ambayo wamevuna mahindi Watu hawawezi kuvuna perfect Kwahiyo uanze kuokota mahindi Na hutokosa gunia 20 Uza HARAKA kila Gunia 50000
Nenda kwenye mashamba ambayo wamevuna mahindi Watu hawawezi kuvuna perfect Kwahiyo uanze kuokota mahindi Na hutokosa gunia 20 Uza HARAKA kila Gunia 50000
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,055 Reaction score 11,222 Thursday at 7:10 PM #2 Mtoe mama samia kwenye avator yako unamdhalilisha kwa mawazo kama haya
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,496 Reaction score 9,428 Thursday at 9:36 PM #3 Akili za kijinga kabisaa
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 545 Reaction score 819 Thursday at 9:40 PM #4 Hayo mashamba sasa, ndio utupe mwongozo¡
K k123gan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 539 Reaction score 755 Thursday at 9:41 PM #5 Kazanazo said: Mtoe mama samia kwenye avator yako unamdhalilisha kwa mawazo kama haya Click to expand... Hali ngumu brother mpaka kawaza hivo ni noma huko kitaani. 😂
Kazanazo said: Mtoe mama samia kwenye avator yako unamdhalilisha kwa mawazo kama haya Click to expand... Hali ngumu brother mpaka kawaza hivo ni noma huko kitaani. 😂
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,055 Reaction score 11,222 Thursday at 10:02 PM #6 k123gan said: Hali ngumu brother mpaka kawaza hivo ni noma huko kitaani. 😂 Click to expand... Sasa huyo atakae vuna mpaka aache gunia 20 shambani yeye kapata gunia ngap
k123gan said: Hali ngumu brother mpaka kawaza hivo ni noma huko kitaani. 😂 Click to expand... Sasa huyo atakae vuna mpaka aache gunia 20 shambani yeye kapata gunia ngap