Mkuu swala sio kulipia swala ni STRATEGY kulipia ni sehemu ndogo sana ya Process ya Kutangaza.
Kama unahitaji msaada wa namna bora ya kufanya matangazo ya Instagram eleza unataka kutangaza nini?kwa muda gani,kwa gharama gani na kwa lengo gani.
Kwa msaada zaidi tuwasiliane