Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,385 Reaction score 68,490 Apr 8, 2016 #1 akiwa anapiga gitaa katika bendi ya jeshi la wananchi
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,306 Apr 8, 2016 #2 Alikuwa anapiga kinanda Dodoma na baba yake mzee Mnauye wailize watu wa Area C na kilimani club.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,385 Reaction score 68,490 Apr 8, 2016 Thread starter #3 niah said: Alikuwa anapiga kinanda Dodoma na baba yake mzee Mnauye wailize watu wa Area C na kilimani club. Click to expand... Kumbe ni mwanamuziki mzuri eeh?
niah said: Alikuwa anapiga kinanda Dodoma na baba yake mzee Mnauye wailize watu wa Area C na kilimani club. Click to expand... Kumbe ni mwanamuziki mzuri eeh?
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Apr 8, 2016 #4 niah said: Alikuwa anapiga kinanda Dodoma na baba yake mzee Mnauye wailize watu wa Area C na kilimani club. Click to expand... Kumbe ni mtoto wa mzee Nnauye?
niah said: Alikuwa anapiga kinanda Dodoma na baba yake mzee Mnauye wailize watu wa Area C na kilimani club. Click to expand... Kumbe ni mtoto wa mzee Nnauye?
Area 56 JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 1,555 Reaction score 4,085 Apr 8, 2016 #5 Hahhahah Nape kwa maigizo, cheki mdomo wake
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,184 Apr 8, 2016 #6 Babake Marehemu BRIGEDIA GENERALY MOSES Nnauye ndiye mtunzi wa wimbo wa '' tazama ramani utaona nchi nzuriiiiiiiii ''
Babake Marehemu BRIGEDIA GENERALY MOSES Nnauye ndiye mtunzi wa wimbo wa '' tazama ramani utaona nchi nzuriiiiiiiii ''
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,385 Reaction score 68,490 Apr 8, 2016 Thread starter #7 kuduman201036 said: Babake Marehemu BRIGEDIA GENERALY MOSES Nnauye ndiye mtunzi wa wimbo wa '' tazama ramani utaona nchi nzuriiiiiiiii '' Click to expand... kwa hiyo mtoto wa nyoka ni nyoka kumbe
kuduman201036 said: Babake Marehemu BRIGEDIA GENERALY MOSES Nnauye ndiye mtunzi wa wimbo wa '' tazama ramani utaona nchi nzuriiiiiiiii '' Click to expand... kwa hiyo mtoto wa nyoka ni nyoka kumbe
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,184 Apr 8, 2016 #8 Mussolin5 said: kwa hiyo mtoto wa nyoka ni nyoka kumbe Click to expand... haswaaaaa
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,306 Apr 8, 2016 #9 Mussolin5 said: Kumbe ni mwanamuziki mzuri eeh? Click to expand... Ndiyo uliza watu wa Area C dom wanamjua alikuwa na adabu na mama yake namjua he has good manners. Mimi siyo mtu wa siasa ila nilijuana na mama yake kwa ajili ya vikundi vya akina mama.
Mussolin5 said: Kumbe ni mwanamuziki mzuri eeh? Click to expand... Ndiyo uliza watu wa Area C dom wanamjua alikuwa na adabu na mama yake namjua he has good manners. Mimi siyo mtu wa siasa ila nilijuana na mama yake kwa ajili ya vikundi vya akina mama.
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,306 Apr 8, 2016 #10 Red Scorpion said: Kumbe ni mtoto wa mzee Nnauye? Click to expand... Ndiyo hapana shaka.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Apr 8, 2016 #11 Naona dogo kazeeka ghafla... Tumbo limemzidi....