Toka 2008 unajua kuna mpango wa kuhujumu mpango wa kuhamisha kanda kutoka Moshi to Arusha ila sababu ya uhujumu huu hujui.
Umewataja mastermind wa mpango huu, wadhifa na connections zao ila sababu ya yote hayo hujajua ni nini?
Na what's the difference kama ofisi ya kanda ikawepo Tanga,Kilimanjaro, Arusha au Manyara? Kote ni kanda ya Kaskazini.
Au kuna unachokijua ambacho sisi hatukijui na hujakiweka hapa? Ongezea ingezea kidigo kubalansisha.