wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 266
Huyu waziri kivuli wa Afya wa CHADEMA amekuwa kama wenzake wa CCMHaonekani, Hasikiki, haijulikani kajificha wapi
. Mtandao wa JF unafanya kazi nzuri kuliko huyu waziri kivuli wa Afya nathubutu kusema kuwa huyu waziri ni DHAIFU na aliyemteua kumpa nafasi hiyo naye DHAIFU kama wenzao wa CCM.
Naomba tuendelee na msako mpaka apatikane ili tujue ana mpango upi mbadala wa kutatua hili tatizo la mgomo wa madaktari na pia kumtolea mchango Ulimboka.
ha ha ha ha hii kali. Mambo yamekuwa magumu sasa anatafutwa waziri 'kivuli'?
This would have been the best moment kujua hawa wanaotaka kuchukua nafasi ya CCM wangehandle vipi hizi issues
tatizo FREEMAN Mbowe kaingia mitini
DR SLAA haonekani
Waziri kivuli wa afya naye haonekani
naanza kuamini kuwa chadema ni CCM B kwani hawafanyi kazi ki professional na style yao ya kukimbia majukumu inakatsha sana tamaaa
haafu wanataka wapewe nchi
useless kabisa
ishu muhimu ya kitaifa wako kimya wanakimbia inakupa picha kuwa wao ni watu wa namna gani
Huyu waziri kivuli wa Afya wa CHADEMA amekuwa kama wenzake wa CCMHaonekani, Hasikiki, haijulikani kajificha wapi
. Mtandao wa JF unafanya kazi nzuri kuliko huyu waziri kivuli wa Afya nathubutu kusema kuwa huyu waziri ni DHAIFU na aliyemteua kumpa nafasi hiyo naye DHAIFU kama wenzao wa CCM.
Naomba tuendelee na msako mpaka apatikane ili tujue ana mpango upi mbadala wa kutatua hili tatizo la mgomo wa madaktari na pia kumtolea mchango Ulimboka.
sasa tunaletewa madaktari toka Iran waziri kivuli wa CHADEMA hana la kusema juu ya hili?