Ndg wdau,kuna tetes mitaan kuwa waziri m1 katika serikal ya kikwete ambae alikuwa amelazwa Afrika kusini kwa matibabu,hatimae katangulia mbele za haki.
Mwenye taarifa kamili atupe.
Ndg wdau,kuna tetes mitaan
kuwa waziri m1 katika serikal ya kikwete ambae alikuwa amelazwa Afrika
kusini kwa matibabu,hatimae katangulia mbele za haki. Mwenye taarifa kamili atupe.
Kuna baadhi ya Wachungaji maarufu hapa Bongo walisema mwaka hauishi kuna kiongozi mmoja mkubwa atafariki dunia na atu watapigwa na mstuko...EF...ta nadhani