Duuh Ushamba mzigo..!!!
Mbona mi sielewi hapo.. Kwamba hapo ndo kabet au? Hiyo 3ml kalipa kwa mchezo mmoja au kafanyaje? Naona kuna Goals options, kwamba anataikiwa kubet goli litaingia kipindi gani na dk ya ngapi? Inathamani gani kulinganisha na kubet matokeo ya mechi nzima bila kujali muda wa magoli kuingia?
Nipate wa kunielewesha hapa
BACK TANGANYIKA