K kachumbari Senior Member Nov 1, 2010 125 8 Nov 5, 2010 #1 Hivi hawa wazee wa tume ya uchaguzi wanajua hata kutumia computer?:thinking:
NATA JF-Expert Member May 10, 2007 4,492 1,311 Nov 5, 2010 #3 kachumbari said: hivi hawa wazee wa tume ya uchaguzi wanajua hata kutumia computer?:thinking: Click to expand... hawa wanakokotoa kwa mkono, hawaamini hizi computer!
kachumbari said: hivi hawa wazee wa tume ya uchaguzi wanajua hata kutumia computer?:thinking: Click to expand... hawa wanakokotoa kwa mkono, hawaamini hizi computer!
K Kiti JF-Expert Member Nov 2, 2010 359 234 Nov 5, 2010 #4 Kwani hata Makamba anajua nini? Hivi kwa nini alifukuzwa ualimu wa shule ya msingi?
K kachumbari Senior Member Nov 1, 2010 125 8 Nov 5, 2010 Thread starter #5 Sasa wana hakiki vipi kura zinavyoingizwa kwenye computer?
Ehud JF-Expert Member Feb 12, 2008 2,685 337 Nov 5, 2010 #7 Hawajui hata computer ni nini huwaoni wakisoma matokeo kama wanasinzia..
Mungi JF Gold Member Sep 23, 2010 16,975 9,566 Nov 5, 2010 #8 kachumbari said: hivi hawa wazee wa tume ya uchaguzi wanajua hata kutumia computer?:thinking: Click to expand... technohama
kachumbari said: hivi hawa wazee wa tume ya uchaguzi wanajua hata kutumia computer?:thinking: Click to expand... technohama