Wazee wa Ligi!!

Ni kulitungua mpaka mshale ufike mwisho kama ni 120 ni kibati tu
 
Hiyo red naona ndio iliyoanguka, wazee wa ligi kweli na mwisho wake kifo
 
Na mi nakuja na BMW yangu nakaa upande wa kushoto kabisa. Tunakuwa wanne.
 
Upuuzi mtupu,ma wakala wa kuzimu hao,abilia nap wamekaa kimya kama ndondocha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…