Sasa mbona unaishitua jamii kwamba wamekukatalia posa kumbe hujajibiwa?Habari za sasa,makaka madada,wa baba na wa mama.Nimekuwa na mpenzi wangu kwa kipindi kikubwa ingawa sio kikubwa kisana,cos is about 8 month.We are loving each other na kwa uaminifu wangu kwake nimejitahidi cjawahi kumsaliti hata kujaribu,hata kufikiria kufanya hivyo.But ktk macku yakaribuni as 2weeks,wazazi wa mtoto waliendewa na mtu ili kumposha mtoto wao.Walimkubali kwa sana cos he was like a family friend.Baada ya mtoto kupata taarifa kwa haraka akanipigia cmu na kunieleza akinitaka kesho yake asubuhi nifike kwa wazazi wake nikaombe fursa ya kumposha kama jamaa aliekwisha tangulia.Ilikua ngumu lakini cos ilove her very much and real love,ckucta nilituma washenga wangu wakaenda na wakapokelewa kwa vizuri.Kinachonipa wacwac hata ninataka ushauri wenu ni kwamba,yule jamaa ana nguvu kwa vile yeye yuko very close 2the parent.Wayayi mpaka sasa hawajatoa jibu lolote ckwa mimi au kwa jamaa.Nakuombeni ushauri wenu cos inaniatìri sana na ukilinganisha nipo masomoni.Naamini mtanishauru vizuri.Ahsanteni.
Habari za sasa,makaka madada,wa baba na wa mama.Nimekuwa na mpenzi wangu kwa kipindi kikubwa ingawa sio kikubwa kisana,cos is about 8 month.We are loving each other na kwa uaminifu wangu kwake nimejitahidi cjawahi kumsaliti hata kujaribu,hata kufikiria kufanya hivyo.But ktk macku yakaribuni as 2weeks,wazazi wa mtoto waliendewa na mtu ili kumposha mtoto wao.Walimkubali kwa sana cos he was like a family friend.Baada ya mtoto kupata taarifa kwa haraka akanipigia cmu na kunieleza akinitaka kesho yake asubuhi nifike kwa wazazi wake nikaombe fursa ya kumposha kama jamaa aliekwisha tangulia.Ilikua ngumu lakini cos ilove her very much and real love,ckucta nilituma washenga wangu wakaenda na wakapokelewa kwa vizuri.Kinachonipa wacwac hata ninataka ushauri wenu ni kwamba,yule jamaa ana nguvu kwa vile yeye yuko very close 2the parent.Wayayi mpaka sasa hawajatoa jibu lolote ckwa mimi au kwa jamaa.Nakuombeni ushauri wenu cos inaniatìri sana na ukilinganisha nipo masomoni.Naamini mtanishauru vizuri.Ahsanteni.
Sasa mbona unaishitua jamii kwamba wamekukatalia posa kumbe hujajibiwa?
Anyway ukiona wanakucheleweshea jibu au wanataka kukutosa mpige mimba!
Hivi siku hizi wazazi ni wayayi? Na kuposa ni kuposha? Halafu unasema uko chuoni? Tengeneza kiswahili kwanza kabla ya kuposti.
Anyway, back to topic. Anayepaswa kutoa jibu ni msichana. Wazazi wanachohitaji kufanya ni kumuuliza binti ni nani hasa ni mchumba wake. Hao wenye tabia ya kujileta bila mapatano na binti hawana nafasi. Urafiki na wazazi haumhusu huyo binti yao. Anachohitaji binti ni kuwa na msimamo thabiti. Lakini niulize je kuna wakati binti aliwahi kuwa na uhusiano na huyo jamaa au waliwahi kuchumbiana.
hahaha acha uchokoz et wayayi mwenzio alikua na haraka ata akasahau kswahl ghafla
Nadhani atakua kakusoma mkuu!Mi mwenyew nmeshtuka nkaacha kula maana niko kwenye mchakato huo...kuangalia vizur hajajibiwa..mtonye bs abadil title
Sasa mbona unaishitua jamii kwamba wamekukatalia posa kumbe hujajibiwa?
Anyway ukiona wanakucheleweshea jibu au wanataka kukutosa mpige mimba!
Sasa mbona unaishitua jamii kwamba wamekukatalia posa kumbe hujajibiwa?
Anyway ukiona wanakucheleweshea jibu au wanataka kukutosa mpige mimba!