Wazazi wa mpenzi wangu wananikatalia posa! Nifanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazazi wa mpenzi wangu wananikatalia posa! Nifanye nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Abuuaiman, Jun 11, 2012.

 1. A

  Abuuaiman New Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za sasa,makaka madada,wa baba na wa mama.Nimekuwa na mpenzi wangu kwa kipindi kikubwa ingawa sio kikubwa kisana,cos is about 8 month.We are loving each other na kwa uaminifu wangu kwake nimejitahidi cjawahi kumsaliti hata kujaribu,hata kufikiria kufanya hivyo.But ktk macku yakaribuni as 2weeks,wazazi wa mtoto waliendewa na mtu ili kumposha mtoto wao.Walimkubali kwa sana cos he was like a family friend.Baada ya mtoto kupata taarifa kwa haraka akanipigia cmu na kunieleza akinitaka kesho yake asubuhi nifike kwa wazazi wake nikaombe fursa ya kumposha kama jamaa aliekwisha tangulia.Ilikua ngumu lakini cos ilove her very much and real love,ckucta nilituma washenga wangu wakaenda na wakapokelewa kwa vizuri.Kinachonipa wacwac hata ninataka ushauri wenu ni kwamba,yule jamaa ana nguvu kwa vile yeye yuko very close 2the parent.Wayayi mpaka sasa hawajatoa jibu lolote ckwa mimi au kwa jamaa.Nakuombeni ushauri wenu cos inaniatìri sana na ukilinganisha nipo masomoni.Naamini mtanishauru vizuri.Ahsanteni.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Sasa mbona unaishitua jamii kwamba wamekukatalia posa kumbe hujajibiwa?
  Anyway ukiona wanakucheleweshea jibu au wanataka kukutosa mpige mimba!
   
 3. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Hivi siku hizi wazazi ni wayayi? Na kuposa ni kuposha? Halafu unasema uko chuoni? Tengeneza kiswahili kwanza kabla ya kuposti.
  Anyway, back to topic. Anayepaswa kutoa jibu ni msichana. Wazazi wanachohitaji kufanya ni kumuuliza binti ni nani hasa ni mchumba wake. Hao wenye tabia ya kujileta bila mapatano na binti hawana nafasi. Urafiki na wazazi haumhusu huyo binti yao. Anachohitaji binti ni kuwa na msimamo thabiti. Lakini niulize je kuna wakati binti aliwahi kuwa na uhusiano na huyo jamaa au waliwahi kuchumbiana.
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145

  Mbona unajitabiria kushindwa?! Binti kuposwa na zaidi ya mtu mmoja ni hali ya kawaida wala isikupe pressure. Kama wazazi wana busara, ni lazima watamuita binti yao na kumuuliza/kumpa fursa ya kujua kachumbiwa na nani na yeye angependa kuolewa na nani. Kama kweli huyo binti anakupenda, ni lazima atakuchagua wewe tu na ninaamini kuwa bado ana nafasi ya kuwashinikiza wazazi wakubaliane na chaguo la moyo wake ambalo ni wewe.

  Usiwe na papara, vumilia na sikiliza lini jibu litatolewa badala ya kuanza kupata pressure za bure kama hata posa zenu hazijawa processed!!! Kumbuka kuwa urafiki na ukaribu wa hizo familia si kigezo sahihi kwa nyakati za sasa kutumika kama chambo cha kuwalazimisha watoto waoane, hii si haki!

  Swali la kizushi
  Sasa akikutetea na ukakubaliwa kuoa, je utaweza kumhudumia mkeo? Maana kwa maelezo yako ni kama ulikurupushwa ungali ulikuwa haujajiandaa kufunga ndoa kwa siku za hivi karibuni! :madgrin:
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kuna ndoa za lazima siku hizi? ikiwa binti hataki hakuna mtu anaeweza kulazimisha hata kama uko ZnZ kidini pia haikubaliwi. Ridhaa ya binti ni muhimu kama hampendi ajibu tu wazee wake.

  Halafu umesikia lini posa and counter posa, kwani tuko mnadani? Ungesubiri mambo ya huyo jamaa yaishe nawe upeleke yako nafikiri hukutumia busara.

  Anyways best of luck
   
 6. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  hv huyo alienda wakwanza imekuwaje bila kuwasiliana na muhusika au unaibiwa nn?
   
 7. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mi mwenyew nmeshtuka nkaacha kula maana niko kwenye mchakato huo...kuangalia vizur hajajibiwa..mtonye bs abadil title
   
 8. y

  yaliyomo yamo Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha acha uchokoz et wayayi mwenzio alikua na haraka ata akasahau kswahl ghafla
   
 9. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Huyo mwanamke kama anakutaka na ni rizki yako utampata,usijichoshe akili utaumia kwa fikra.
   
 10. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Na kweli! Amechanganyikiwa hadi kigugumizi cha vidole!
   
 11. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nadhani atakua kakusoma mkuu!
   
 12. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ndoaaaaaa....

  mimi kachumba kanabana miguuu..... kakadai niende kujitambulisho CHAGA CITY OF MOSHI.... nkaenda, kamebana tena!!!"""''''

  nakatumia nauli, katakuja MTWARA hapo nitakafanyia diagonosis...alaf tuangalie janja nani!!!!
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  tukushauri nini? subiri jibu la wazazi kwanza
   
 14. A

  Abuuaiman New Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Owk makaka! Kigugumiz cha vidole kimenijaa makaka,any way ithink nipo right cos bado nasubiri ila watu wangu kila wakienda hupigwa kalenda tu,cjui njoni after 2weks or wait till friday! Huo ndo was was wangu.But nimewackia makaka nakuahidini kufanyia kazi.Ahsanteni
   
 15. nover

  nover Senior Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  kwel hyo ni solution mkuu
   
 16. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  @Abuuaiman, mbona sioni tatizo la wakwe katika uzi wako?

  WanaJF hebu nisaidieni, inawezekana vipi kwa mtu ambaye sio mpenzi ukaenda kumchumbia? Nahisi kuna kitu hakijakaa sawa hapo. Je! Binti alikuwa ana wachanganya ngurumbili nyamaume mbili kwa wakati mmoja? Je! Jamaa wa kwanza kaamua tu kulianzisha baada ya kuona na kuridhika na wasifu wa nje wa Binti?

  Bazazi! leo hajielewi na haelewi kinachoendelea katika uzi huu!

  Ndimi Bazazi!
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Usihofu kwani wewe karata zako ni nzuri zaidi kwa vile muhusika Mkuu yuko pamoja nawe!
   
Loading...