Sehemu pekee ambayo ilikuwa ni sehemu yakumaliza kilio chenu cha mda mrefu ilikuwa ni kwenye Rasmu ya Katiba kwani manung'uniko ya muda mrefu kuwa mmemezwa na Bara ni kati ya kero za Muuungano ambazo zimekuwa zikusumbua vichwa vya Wazanzibar wengi hadi kufikia kusema Mnataka mjitawale Sasa tumeona Juzi kuwa Mmepewa Mpira mmeshindwa kuucheza!
Je hapo mtamlaumu nani?
Tunategemea mtandelea kuiunga serikali ya Muungano hivyo hata ukija mchakato wa Serikali Moja tunajua tutakuwa Pamoja kwa hili!
Ila naomba muwashukuru wajumbe waliowawakilisha muendelee kuwpa sapoti 2015 katika majimboni kwani wameonyesha mlichokitaka!......................!!
Asante

ni kweli sisi waDangayika ndiyo tatizo - CCM inatugeuza itakavyo kama samaki kwenye kikaangio - sijui ni lini tutajinusuru yarabi.wakumlaumu ni nyinyi waTanganyika coz sisi waZanzibar tumejitahid sn ila dola ya ccm inatumaliza laiti na nyinyi waDanganyika mngesimama kidete km sisi waZanzibar basi tungefika ila tatizo nyinyi.
Sehemu pekee ambayo ilikuwa ni sehemu yakumaliza kilio chenu cha mda mrefu ilikuwa ni kwenye Rasmu ya Katiba kwani manung'uniko ya muda mrefu kuwa mmemezwa na Bara ni kati ya kero za Muuungano ambazo zimekuwa zikusumbua vichwa vya Wazanzibar wengi hadi kufikia kusema Mnataka mjitawale Sasa tumeona Juzi kuwa Mmepewa Mpira mmeshindwa kuucheza!
Je hapo mtamlaumu nani?
Tunategemea mtandelea kuiunga serikali ya Muungano hivyo hata ukija mchakato wa Serikali Moja tunajua tutakuwa Pamoja kwa hili!
Ila naomba muwashukuru wajumbe waliowawakilisha muendelee kuwpa sapoti 2015 katika majimboni kwani wameonyesha mlichokitaka!......................!!
Asante
Kwani CCM hawawezi kuwa wazanzibar? Nini tafsiri ya mzanzibarHivi unaamini kama pale walikuwepo WaZanzibari ? Kwanza nataka ukubali kuwa viongozi waote wa CCM kutoka Zanzibar wamepachikwa kama vilemba kwenye vichwa,wote wanaitegemea na kuiabudu Tume ya Uchaguzi ndio iliyowapa ushindi ,na jingine ni woga wa kushughulikiwa ,Kama uliwaona waliotoka wale ndio WaZalendo halisi wa Zanzibar.
Kama uliona Mzanzibari aliebakia na amekaa kimya na kutoa mipasho huyo kwanza mjuwe amedhaminiwa na CCM kuwepo kwenye cheo alichonacho ,si mchaguliwa na wananchi ,sasa ujue kuwa pale asilimia 99 ya waliobakia ni pumba za CCM aka vibaraka ,au ukipenda unaweza kuwaita matarishi ,hawapo pale kumuwakilisha mzanzibari wapo pale kuilinda ccm na sera zake za ubepari.