mkuu ingekuwa vigumu sana kwa bridge kule kuwa kambi moja na mtu aliye lala na demu wako.lazima angekuwa anajistukia .Lol!...i was taking for granted the saga, sikuwai kufikiri kuwa litakuwa na impact kiasi hiki!
Tehetehe, my dearest fellow 'men'.....mnaona ugumu wa 'mme mwenza'?, women they can, why not us?, i wish wangekuwa timu (klabu) moja tuone ka-Brigde asingechezea timu yake!
Naona ukuta wa UK kuelekea kwenye World Cup bado una matatizo huyu Bridge kajiondoa na Ferdinand bado mgongo unamsumbua.
mkuu ingekuwa vigumu sana kwa bridge kule kuwa kambi moja na mtu aliye lala na demu wako.lazima angekuwa anajistukia .
ngumu kwa mtu yoyote yule.
natoka nje ya topic.huku europa cup haya mambo marefa wa-5 wala haina maana.yani mtu kaushika mpira maksudi kufanya mshambuliaji asifunge na refa la tano liko nyuma goli pale pale lakini kajifanya hajaona.kweli FIFA kazi wanayo.ndani ya box mchezaji atlentico madrid kapiga mpira na mkono kutoa mbele ya forward ya galatasaray.
siwezi ku-mind kwa vile ni former gf.tatizo hapa wayne bridge kajistukia kwamba mchizi alikuwa anachapa longtime hata wakati yeye alikuwa anamiliki mzigo.kwahio anaona noma.Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?
ha ha ha ha sawa mkuu jana ulilia hile kalou.lakini hii ninayozungumzia mimi hapa ni noma na hakuna umuhimu wa marefa wa 5 kabisa fifa wanapoteza hela yao.Tumekuzoea mkuu ukikuwa utaacha hahahahahahaaahhh!
siwezi ku-mind kwa vile ni former gf.tatizo hapa wayne bridge kajistukia kwamba mchizi alikuwa anachapa longtime hata wakati yeye alikuwa anamiliki mzigo.kwahio anaona noma.ni vizuri kama angeenda kwani watu wangeona kama ame move on na issue hio sasa ataendelea kuwatosa milele au?
leighton baines atawatoa ,wasi wasi wao tu.Naona ukuta wa UK kuelekea kwenye World Cup bado una matatizo huyu Bridge kajiondoa na Ferdinand bado mgongo unamsumbua.
Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?
Mkuu mambo ya malove dave yalivyo, huwezi kufurahi kumwona buddy wako anammega (ingekua anachukua jumla afadhali) ex wako.....halafu kumbuka yule dem ni mama mtoto wa Bridge.
Hivi unajua hii yaweza kuwafanya wengine wakosa amani wakimwona JT anawakaribia madem wao.
BTW: Capelo ana matumaini jamaa atabadili msimamo
Lol!, hiyo nayo point pia!
Lakini cha msingi wakubwa wat we need to take note ni kuwa mambo ya mapenzi magumu kwelikweli, na reaction ktk mapenzi ni kitu ambacho hakitabiriki siku zote, that's y haishauriwi kujiingiza sanaa ktk usuluishi wa wapenzi coz u a most likely 'kusutwa' badae.
Ww na yule mwamuona demu 'malaya tu' jamaa kumbe kafa kaoza, na kinamuuma kinomaaa yaani!, huwezi jua, alicho onjeshwa Terry, Gudjohsen, Essien, au Mutu si dogo Brgde alicho 'onja'...tehetehe!
Jethro
Brigde is simply coward and selfish.....anataka kukuza jambo lisilo na maana na kudamage hopes za England world cup. Angebakia kwenye team hii kitu ingekwisha kabisa maana haina mshiko, Kesho atazomewa sana Stamford bridge. He is milking himself kwa kutafuta sympathy asiyo stahili