Wawili tu

huyo wa tatu namtoa mara mbili
 
Ingekuwa wema ashawahi kunipa na nina uhakika siku baridi likizidi nampigia simu na anakuja, ningemtoa yeye peke yake tu

Lakini niko hopeless na waliobaki ni helpless
 
Ngoja nifikirie kwanza....


Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
Wa 2 na 3 ili niendelee kuona vita ya mwanasheria na mkufunzi wa kemia
umewza kama mm aisee nimetokea kuipenda hii league mnoooo wacha movie iendelee
kosa la kushikwa mkono washitaki 30 na mshitakiwa mmoja bilioni lazima itoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…