Wauzaji wa magari used aina zote

Wauzaji wa magari used aina zote

Josee Munyama

Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
42
Reaction score
35
Tunauza Magari used aina yote tuko dar piga Simu 0717673698 kwa Mawasiliano
1473835890661.jpg
1473835910069.jpg
1473835938900.jpg
1473835953129.jpg
1473835984548.jpg
 
Hizo sample tu ukija WhatsApp utasema unayotaka unatumiwa gar na bei no hizo hapo juu
 
Duuuuuuuuh sasa biashara tuna angalia mazingira mazuri ya kurahisisha maridhiano hofu iko wapi
 
uko whatsupp unataka utuombe ela ya kula? weka bei apa kwa kila gari tujue unaficha ficha nini...mficha uchi hazai
 
Hahahaa mkuu kuna uhusiano gani kati ya hiko chama na matumizi ya whatsup?
Ccm imelemaza vijana wengi uwezo wao wa kufikiri sana na ndio maana kama taifa tupo hapa ambapo Mungu hakutaka tuwepo hapa!

Unaletaje tangazo unaulizwa bei unakimbilia twende whtsp huko kunann kama sio uchawi nn?
 
Ahsanteni wote,mnaokuja nafikiri mnapata huduma,Uhuru wa mawazo ndio unatuweka kudharauliana na vyovyote ila wote nawaona mnaakili sahihi kabisa tu let's go
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom