hashy1310 Member Joined Dec 15, 2011 Posts 62 Reaction score 8 May 8, 2014 #1 Habari wakuu? Naomba kusikia chochote kuhusu Hawa jamaa nlowataja halo juu kabla sijakurupuka, nnahitaji gari na nimeona wao wanauza bei rahisi mpaka nashtuka. nimeona page yao Facebook. nawakilisha....
Habari wakuu? Naomba kusikia chochote kuhusu Hawa jamaa nlowataja halo juu kabla sijakurupuka, nnahitaji gari na nimeona wao wanauza bei rahisi mpaka nashtuka. nimeona page yao Facebook. nawakilisha....
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,921 May 8, 2014 #2 Rahisi gharama aliniambia bibi yangu
N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 May 8, 2014 #3 Chek na Beforward..wako cheap sana na grlari linakuja