Hello my dear brothers and
sisters! I hope you are doing great, i have been receiving texts through
my Facebook account like "My name is ......, i saw your profile
today at /facebook.com/ and
became interested in you,i will also like to know you the more,and i
want you to send an email to my email address so i can give you my
picture for you to know whom i am.
Here is my email address(........)
I believe we can
move from here!
I am waiting for your mail to my email address above.
(Remeber the distance or colour does not matter but love matters
alot" from individuals that their identities real strange to me!!!!
Please can any one help me what is real behind this?
Halo Daata! Njia wanayotumia hawa matapeli lazima watakunasa tu kama utawajibu meseji zao. Atakuambia hivi mathalani (na wengi ndo wanafanya hivyo)......... kuna mzazi/ndugu/ yangu alifariki mwaka xxxx. Aliacha urithi benki kiasi cha dola 2,500,000. Urithi huo upo kwa jina langu xxxx na ili nizichukue fedha hizo, natakiwa niziingize kwenye akaunti ya mtu mwingine ninayemwamini. Nimetokea kukuamini sana tangu nilipoona akaunti yako ya fb. Naomba unitumie jina na namba ya akaunti yako ya benki ili nihamishie huko urithi wangu. (Ukiwaza kuwa dola milioni mbili u nusu zitahamishiwa kwenye akaunti yako, unaona huo ni mshiko wa kutosha, na unampa jina na namba ya akaunti.Baada ya hapo utapeli ndo unaanza). Akishapokea jina na namba ya akaunti anaanza: 'unajua bwana,benki za huku zinachaji dola 120 kuhamisha dola2.5ml kwenda kwenye akaunti nje ya nchi. Unawaza na kuwazua kasha unamtumia dola 120.Akizipokea, anakuja na jingine:kuna ndugu yangu mmoja amegundua kwamba nahamisha urithi wangu, anataka kuniripoti kwenye bodi yetu ya utamaduni na urithi. Tuma dola 50 tumnyamazishe! Ataendelea hivyohivyo kukutapeli na utakapostuka, hakuna hata senti moja itakayoingizwa kwenye akaunti yako. HUO NDO UTAPELI WENYEWE NDG DAATA, NA WENGINE WATAONGEZEA.Hivi njia wanayotumia inawawezeshaje kufikia azma yao ya utapeli?
Utapeli wa kijinga sana huo, sijui kama kuna b.wege yeyote aliyewahi naswa
Halo Daata! Njia wanayotumia hawa matapeli lazima watakunasa tu kama utawajibu meseji zao. Atakuambia hivi mathalani (na wengi ndo wanafanya hivyo)......... kuna mzazi/ndugu/ yangu alifariki mwaka xxxx. Aliacha urithi benki kiasi cha dola 2,500,000. Urithi huo upo kwa jina langu xxxx na ili nizichukue fedha hizo, natakiwa niziingize kwenye akaunti ya mtu mwingine ninayemwamini. Nimetokea kukuamini sana tangu nilipoona akaunti yako ya fb. Naomba unitumie jina na namba ya akaunti yako ya benki ili nihamishie huko urithi wangu. (Ukiwaza kuwa dola milioni mbili u nusu zitahamishiwa kwenye akaunti yako, unaona huo ni mshiko wa kutosha, na unampa jina na namba ya akaunti.Baada ya hapo utapeli ndo unaanza). Akishapokea jina na namba ya akaunti anaanza: 'unajua bwana,benki za huku zinachaji dola 120 kuhamisha dola2.5ml kwenda kwenye akaunti nje ya nchi. Unawaza na kuwazua kasha unamtumia dola 120.Akizipokea, anakuja na jingine:kuna ndugu yangu mmoja amegundua kwamba nahamisha urithi wangu, anataka kuniripoti kwenye bodi yetu ya utamaduni na urithi. Tuma dola 50 tumnyamazishe! Ataendelea hivyohivyo kukutapeli na utakapostuka, hakuna hata senti moja itakayoingizwa kwenye akaunti yako. HUO NDO UTAPELI WENYEWE NDG DAATA, NA WENGINE WATAONGEZEA.