Mwenzenu nahc kukata tamaa nimetafuta kaz mpk nimechoka maisha naona yananshnda niliamua kujiajir bt naona hal ndo inakuwa ngumu zaid biashara haitok n hela inazd kupukutika kwny kulipia kod,mwenye msaada wa kaz halal itakayoweza niingizia kpato ntamshukuru sn.Nna dgr ya kiswahl linguistics ht mashulen naweza ingia,asanten sn!.