happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
- Thread starter
-
- #21
Ikiwa utaonesha utii kwa mtu yoyote ni lazima upendwe tu. Kinyume cha utii ni uasi na pia kumbuka uasi ndio dhambi ya kwanza kabisa iliyomwingia shetani hadi akakataa kumtii Mungu. Mungu aimpenda shetani lakini shetani hakujali kupendwa na Mungu na badala yake hakumtii Mungu.
Kwa kuliona hilo ndio maana Mungu amewatahadharisha wanaume kwa kuwaambia kuwa "Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili" na pia maandiko hayo hayo yanasema mwanamke -------- ndio huivunja nyumba yake yeye mwenyewe.
Hayo ni sawa kabisa. Tukirudi kwenye topik upendo huanza na utii utafuata.
Ni sawa kusema hivyo na kuendelea kuamini kuwa mwanamke si lazima ampende mwanaume wa kumuoa cha msingi ni suala la mwanaume kutoa posa na binti bila kupima moyo wake analazimika kukubali kuolewa na yeyote aliyempenda, then azingatie kutii kwa kuwa anapendwa.
Sikubaliana na hapo unaposema SI LAZIMA MWANAMKE APENDE MWANAMUME WA KUMUOA. masuala ya posa ni utaratibu tu na makubaliano, si wazazi wote wanaopokea mahari za binti zao.
Kwani si ni wewe ndio uliyeanzisha mada kuwa MWANAUME NDIO ANAPASWA KUMPENDA MWANANKE? Ikiwa hukubaliani na hili la mwanamke halazimiki kumpenda mwanaume wa kumuoa basi kubali kubadili msimamamo wako kuhusu wanaume kuwapenda wanawake na badala yake uje na mtazamo wa wanaume na wanawake kupendana wote.
Nimeongelea upande mmoja wa mwanamke kupendwa, bado sijageuza upande wa pili. Simaanishi mwanamume asipendwe.
Hapa JF kumejaa manungayembe yanataka kuolewa
Give me a break guy,unamanisha nini,kila anayetaka kuolewa ni nungayembe?au kutaka kuolewa ni dhambi?au kutokuolewa ni dhambi?For your information huku kuna wanawake wenye heshima zao kuliko hao unaofikiri wapo kanisani au msikitini i know some of them.
Kuna mtu haingii bar,hajichanganyi, kutoka kwake ni kazini na kanisani kuwa jf is not a justification of abusing us.
And being a man does not give you a right of talking whaever nasty you feel againsty women only because you can wake up in the morning and get married.
Life is vicious bro usitukane only because hatukuoni au ni kama vile unatujua
,
Kwenye blue!! Mara nyingi tabia za mke mtukanaji hazianzii ukubwani. Huyu alishazoea matusi toka mdogo, inawezekana amekuwa kwa kutukanwa na kuona mama yake akitukanana na baba yake hivyo naye anakuwa mtukanaji na mgombanaji na mbabe katika ndoa. Kitu kidogo tu kitaibua mahasira na machungu ya maisha aliyoishi akiwa mdogo, au mateso aliyoyapata mama yake ambayo yeye aliyashuhudia; hali hii humfanya hata asiwe na heshima wala kuona umuhimu wa mumewe kwake.Ni vizuri ukitaka kujua tabia za mwanamke unayemuoa nenda kaone mama yake anavyoishi na mumewe.
Tunaelewa kwamba mke ametoka katika ubavu wa mume. Hakutoka katika nyayo ili adharauliwe na kukandamizwa wala hakutoka katika kichwa ili mwanamume ajisifu kuwa yeye ana akili sana; bali ametoka ubavuni ili akumbatiwe na kulindwa, kumbuka ametoka ubavu wa kushoto ulio karibu na moyo ili apendwe, aheshimiwe na kuthaminiwa.
Kwa kuwa ubavu haujanyooka sawa sawa mke pia ana mapungufu, lakini asinyooshwe kwa nguvu atavunjika, akanywe kwa upole na upendo naye atasikia.
Umpende mwanamke?? Mimi huwa naenda night club nachukua wanawake 6 nawalaza uchi nagegeda wote kwa zamu na jicho siachi,sasa hapo nimpende yupi? Wanawake hawapendeki.mimi nawazalisha tu kisha nampenda mtoto.
^^
Kupenda nawapenda sana tatizo hawanipendi.
Love me I will love you back.
Usiombe Usichotimiza
^^
ukiona hawakupendi machoni ujue moyoni wanakupenda
^^
Ahaaa! Kumbee
^^
ee..eeh! Unapendwa kimoyo moyo best