Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 261
Moja kwa moja peponi
Huna akili ,kuleta udini katika vifo vya mamia ya watu kosa waliokufa ni watu wa dini nyingine ?Ala kafurahi,wajiandae kwa bikra 70
pepo ya wapi hiyo wakati Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa?Moja kwa moja peponi
muwe mnawakosoa hao masheikh wapunguze kuropoka mwishowe ndo mtu akikosoa mnasema mdini kumbe mwenzio hayupo hukoHuna akili ,kuleta udini katika vifo vya mamia ya watu kosa waliokufa ni watu wa dini nyingine ?
Nyinyi ndio wale wale hata Uturuki ilipopata tetemeko mkaanza kashafa za kidini ,usiombe itokee katika familia yako halafu mtu aje kukufanyia kebehi ,kuna wakati ufike ujiheshimu.
Watu wahuni wakatili walikosa huruma wameua raia wenzao watoto na wanawake tena katika mwezi wa Ramadhan bila hatua yeyote halafu wewe unaleta udini wako upo sawa kichwani ?