Watz ovyo kabisa!!!!!


Sisi watanzania ni nani aliyeturoga,huu ujinga wetu kwa kweli unasikitisha sana,tunashindwa kupaza sauti kwa mambo mengi ya msingi kama haya,ni lini tutaamka?muda mwingine unaweza kwenda mbali na kusema kwa nini nilizaliwa mTanzania,ebu tuamkene jamani,hii nchi na rasilimali zake ni zetu wote,lazima matunda yake tuyafaidi wote!tusiendelee kukubali wachache waendelee kunufaika na rasimali zetu peke yao na wawe na kauli juu yetu,lazima tuamke na kupaza sauti,waelewe kua tuna uelewa sasa!
 

Mbona ss watz ndio tunaongoza kwa Ukondoo toka enzi na enzi. Hatuna ubavu wa kufanya lolote na maisha yataendelea kuback step kama kawaida
 
Ovyo Ovyo!! Umeme umepanda 40%,vyakula havishikiki! Tunawapa downs bilions huku hazina ikiwa hoi!! Tupo tupo tu tunawadiscus akina kafulila!! Damn! Hakyanani tupo tupo tu! viongozi wamefeli tutumie nguvu tu!
 
Naomba muanzisha mada aseme yeye ana uraia wa nchi gani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…