uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Story za vijiweni , au wakati anasikiliza hakusikiliza vizuriUkiambukizwa ngoma kipimo kinaonyesha siku hiyo hiyo?
Ngoma ya kizungu hyo, ya kiswazi baada ya miezi mitatu.Ukiambukizwa ngoma kipimo kinaonyesha siku hiyo hiyo?
Unamtetea yupi kati ya hao watatuWalinunua dada poa wakampeleka walipofikia mijamaa ikamchangia minne yote. Hadi asubuhi dada wa watu alishang'ata shuku jamaa walipokamatwa wamepimwa wote wameathirika na wakawa wamefukuzwa kurudi kwao muda huo huo.
Dada zetu wa morogoro na kilosa yote ile mjichunge waturuki ni wahuni sana.
Kasema jamaa wana ngwengweUkiambukizwa ngoma kipimo kinaonyesha siku hiyo hiyo?
Soma habari uelewe. Yaani wale majamaa ya Kituruki ndiyo yalipimwa ili kujua status yao ili kama waneathirika dada apatiwe zile dawa za fasta kabla ya masaa 72. Sasa wote wakakutwa wana Ngoma. It means wanayo muda mrefu mpaka kipimo kimesoma.Ukiambukizwa ngoma kipimo kinaonyesha siku hiyo hiyo?
Wanakuwa na jamaa wanajua kiswahili wanafanya nΓ£o kaziMe hawa wamisri wanaozunguka maofisini na majumbani kuuza electronics ndo wananiacha hoi,
Mtu hata Kiswahili hajui yuko kitaa anafanya umachinga
Mtu kafa wao wamepimwa ukimwi wameachiwa waende kwao.Na ikaishia hivyo? Hakwenda police wala nini? Acheni habari zenu za vijiweni
halafu watz wakae majumbani wanasubiri ajira serikaliniMe hawa wamisri wanaozunguka maofisini na majumbani kuuza electronics ndo wananiacha hoi,
Mtu hata Kiswahili hajui yuko kitaa anafanya umachinga
yaani kutoka huko kwao wamekuja tz tayari wagonjwa, mbona haiingiii akilini?Walinunua dada poa wakampeleka walipofikia mijamaa ikamchangia minne yote. Hadi asubuhi dada wa watu alishang'ata shuku jamaa walipokamatwa wamepimwa wote wameathirika na wakawa wamefukuzwa kurudi kwao muda huo huo.