Faru fausta
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 218
- 143
Huo ni mtego mzito ukidai mafao nao wanakudai kwa makosa yasiyopungua 2 kitu amabacho kitakufanya ufungweHiyo hat mm imeniuma daa raid angewafikiria kwa kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nje ya uwanja Uncle in Mkude Simba's voiceHivi kuwa na cheti halali inashindikanaje mpaka ufoji??
Shule kipaji mkuu[emoji23]Hivi kuwa na cheti halali inashindikanaje mpaka ufoji??
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nje ya uwanja Uncle in Mkude Simba's voice
Muulize Daudi Bashite ugumu wa kuwa na cheti halaliHivi kuwa na cheti halali inashindikanaje mpaka ufoji??
Ingawa kufoji vyeti ni kosa, lkn waliofoji wamefanya kazi kwa ufanisi. Sijasikia serikali inalalamika kuwa hawa waliofoji vyeti wameitia hasara serikali.. Kwa msingi huu nasema serikali inafanya uharamia wa kutaka kuiba pesa za watu. Hii ni Dhambi kubwa.
ASEEMuulize Daudi Bashite ugumu wa kuwa na cheti halali
KAZI KWELIKWELI...KWELI MTIHANI UHESHIMIWEShule kipaji mkuu[emoji23]
Kwa tafsiri yangu: Kipaji ni uwezo wa kipekee anaokua nao mtu flani na uwezo huo unamuwezesha kufanya jambo flani kwa usahihi kuliko watu wengine.
Kuna watu hata wakeshe wanasoma, wakiingia chumba cha mtihani kila kitu wamesahau[emoji23]
Mtihani uheshimiwe na kila mweye pumzi