Watu8, mwanao kapatikana nitafute

Huyu mtu anaitwa mshana jr ana balaa kubwa sana! watu8 kuja huku, kuna zaidi ya kituko huku! btw nimependa mwanya wa huyu mtoto, daaaah atawamega sana mademu wapenda mwanya!
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtu anaitwa mshana jr ana balaa kubwa sana! watu8 kuja huku, kuna zaidi ya kituko huku! btw nimependa mwanya wa huyu mtoto, daaaah atawamega sana mademu wapenda mwanya!

Hahahahaaaa slim5 huo ni mwanya au jipengo tena la karne?
 
Last edited by a moderator:
Dah! Mshana jamani nimecheka kwenye gari peke yangu mpaka watu wamenishangaa!!
 
Atakuja kuwa handsome huyo mtashangaa, hayo meno yataota na hilo tabasam mtalipenda tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…