watu wengine hamnazo kabisa

...amejaribu..hata NEWTON alianza hivi hivi
 
kwa hiyo mnais ataweza kuchemsha maji ayo na kufanikiwa kuogelea maji ya moto
 
huyo jamaa anajitafutia kupigwa shoti tu hapo...usifanye masikhara na input voltage ya electric heater..
 
Hiyo inaitwa experiment. Baada ya hapo anakuja na matokeo kuntu.
kweli mkuu, badala ya kufanya judgments za papo kwa papo ni vizuri kujiuliza.
Unaweza kukuta mwenzake yupo ngambo ya pili ya maji na wanaona kama inakuwa na shock kiasi gani au haipo kabisa!

 
Hii kiboko ila kila mtu na tafiti zake huwezi jua jamaa anatafuta nini hapo na jibu alilolipata inawezekana likawa zuri tofauti na tunavyofikiri.
 
Huwezi jua labda rezction ya heater inavuta samaki.................!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…