Hyo sio maana ya open source mkuu. Open source ina maanisha kuwa code ya software ipo available publicly kwa yoyote kuangalia na kumodify hyo code anavyotaka.
Android ambayo ni open source ni Android Open Source Project (ASOP). Hii ndio stock Android inayo kuwa maintained na Google.
Samsung na wengine wanachukua hyo code na ku modify kuwa UI zao. OneUI ya Samsung sio open source (kuna vipande vichache tu ambavyo ni open source), MIUI ya Xiaomi sio open source, n.k.
Code ya AOSP unaweza iangalia hapa: source.android.com
Open source haimainishi kuwa ipo open kwa user. Mbona kuna part za ios ni open source pia