Watu Wema Bado Wanaishi

Sawa ndugu. Mungu awe nawe katika maisha yako. Akujalie kuwa mtu wa tofauti, kielelezi katika jamii na taifa lako.
 
Dunia imbariki mfadhili wako " dunia ikubariki pia kwakuonyesha kuutambua mchango wake "

Kuna watu huwa wana saidiwa lakini wanakosa shukurani. Wanakosa upendo utu na jicho la tatu linalo weza kutambua thamani ya mtu anaye mtendea wema ...

Hongera
 
Dunia imbariki mfadhili wako " dunia ikuabaliki pia kwakuonyesha kuutambua mchango wake "

Kuna watu huwa wana saidiwa lakini wanakosa shukurani. Wanakosa upendo utu na jicho la tatu linalo weza kutambua thamani ya mtu anaye mtendea wema ...

Hongera
mkuu Mungu akubariki, una upeo mkubwa na mzuri sana kwa namna unavyofikiri, ahsante kwa maneno haya.
 
Yeye kaamua kuleta mrejesho kama shukrani kwa aliyemsaidia,saa zingine kama umeshiba dona na dagaa umejalilia kwenye mkeka siyo lazima ukoment.
 
kama Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…