Firmino bobby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2018
- 228
- 594
ni busara kutambua haya mkuu.Ujumbe mzuri sana...@Wema hauozi
Nashukuru mkuu, kwa hakika 'we rise by lifting others.watu wema hawawezi isha ,ujumbe mzuri pole kwa masaibu ,waliokushika mkono wabarikiweView attachment 977454
Mungu amwongezee pale alipopunguza,nawe pia ukawe msaada kwa wengine,na usisahau familia yako pamoja na wadogo zako kuwainua piaIkiwa ni miezi karibu kumi toka nilete ombi langu humu jukwaani la kutaka kusaidiwa kujiunga na shule ya sheria Tanzania, na kwa mapenzi ya Mungu likafanikiwa, na nikaleta mrejesho, wachache waliguswa kwa namna moja au nyingine, kwa mapenzi ya Mungu wakaweza kufanikisha adhima yangu ile na kweli sitosahau na majina yao nimeyahifadhi. ila kuna mtu mmoja aliugusa moyo wangu kwa namna ya pekee na nikajifunza kitu kikubwa toka kwake.
watu wema wanaishi, huyu mmoja ambae nasema alikua wa tofauti, alinitafuta, nikamueleza yote, hakua na hiyana aliguswa pakubwa kwa namna ya pekee, nikiwa naishi ktk maeneo ambayo sio ya kawaida kwa waTanzania walio wengi,,,akaniamisha kutoka huko kusiko kwa kawaida na akanileta maeneo ya karibu na chuo cha sheria, akanipa msaada wa vyakula na mavazi (kama nilivyowai kuelezea hali ya kiuchumi niliyokua nayo baada ya kuhitimu degree yangu ya sheria na historia kiujumla).
Mambo mengi yalibadilika since alivyokuja, milango mingi ikaanza kufunguka... Yawezekana ile ikawa ni misaada ya kawaida tu kwa wengine, lakini ni wangapi wanaweza kua na moyo wa namna hio, tena kwa mtu usiemjua? watu wema bado wapo.
Ikumbukwe, hakuna aliefika juu kipekee yake tu, kila mtu alifika juu kwa sababu ya mtu au watu flani, lazima kuwe na chanzo, na mifano hai ipo;
Rais Magufuli aliwai kukili hadharani kua pasipo rais wa awamu ya Tatu bw. Ben Mkapa kukubali kupita jimboni kwake na kumpigia kampeni kwenye uchaguzi wa 1995 basi leo uenda asingekua popote.
Bila roho nzuri ya Rais Boris Yeltsin kukubali na kumteua mtu aliekua anatajwa kua na skendo ya ubadhilifu wa pesa za umma leo kusingekua na Rais Vlad. Putin, ni kuna watu ambao kwa mitazamo yao ubadilisha maisha ya watu wengine walio kwama na baadae kubadilisha jamii kabisa.
Kama una jihisi upo katika nafasi ambayo unaweza kubadili maisha ya watu wengine, fanya hivyo, jamii na nchi vitakushukuru daima, Malcom X ambae anatajwa kua mtu mweusi mwenye uwezo wa ajabu wa kujenga hoja na kushawishi watu kwa kiasi kikubwa, alikua ni muuza madawa tu mpaka siku alivyoenda jela na kukutana na mafundisho ya bwana Elijah Muhamad ambayo yalimbadilisha kutoka kua mbumbumbu mpaka 'genius wa dunia', na leo Malcom kaacha legacy kubwa sio yake tu bali ya Elijah Muhamad.
Yohana mbatizaji aliwai kusema anachonga njia kwa yule mfalme ajae (kristo), hata wewe unaweza kuchonga njia kwa watu wengine kwa nafasi uliyo nayo.
ni busara ukijua wewe kuna siku utakufa, sasa utakua umeacha legacy gani? saidia pale upatapo nafasi na uwezo, usijiforce kama hauwezi kusaidia kua mkweli na nafsi yako, kama tunaweza kununulia bia watu tusiowajua, kwanini tusiwape chochote hata wale watu wenye mahitaji makubwa.
upo hapo ulipo kwa sababu ya watu au mtu mwingine na kwa mapenzi ya Mungu, basi nawe ukiwa na uwezo unaweza kuwafanya watu wengi wawe pale walipo kwa kadri watakavyo jaliwa, na itakua faida kwako kiroho, kifikra, kimwili na hata kiuchumi hapo baadae, nani anajua?
Muandishi wa makala hii ni wakili anaetarajiwa kuapishwa mwakani, akiwa katokea ktk mazingira yasio simulika kiurahisi, na kwa kutumia jukwaa hili ameondolewa huko kwa namna moja ama nyingine. (na haiitaji msaada wowote kama wengi watakavyo fikiri).
Mungu mbariki Faiza Hassan.
Heri ya Mwaka Mpya
Mkuu umeongea maneno mazito sanaa, Mungu akubariki sanaa.Mungu amwongezee pale alipopunguza,nawe pia ukawe msaada kwa wengine,na usisahau familia yako pamoja na wadogo zako kuwainua pia
AmeenMkuu umeongea maneno mazito sanaa, Mungu akubariki sanaa.
hahahaha sawa mkuuNi kweli ...ila kuwapata...
maana ni wachache....Mungu ni mwema...tuombeane maana tuko wengi ila kimya kimya tu...
yeah its true."Do good and let that good follows you eternal"
Mkuu shida zinafundisha watu kua na utu, kuishi na watu vizuri ni ibada, hua nasema Mwenyezi Mungu anipe nafasi tu.Mkuu nawe pia usiache kufanya ulichofanyiwa
Duniani wema wapo na wabaya pia
Hongera kwa kutumiza ndoto zako
Kuna mziho mkubwa ambao umetwikwa na mazingira yako ya kushikwa mkono na watu.Ikiwa ni miezi karibu kumi toka nilete ombi langu humu jukwaani la kutaka kusaidiwa kujiunga na shule ya sheria Tanzania, na kwa mapenzi ya Mungu likafanikiwa, na nikaleta mrejesho, wachache waliguswa kwa namna moja au nyingine, kwa mapenzi ya Mungu wakaweza kufanikisha adhima yangu ile na kweli sitosahau na majina yao nimeyahifadhi. ila kuna mtu mmoja aliugusa moyo wangu kwa namna ya pekee na nikajifunza kitu kikubwa toka kwake.
watu wema wanaishi, huyu mmoja ambae nasema alikua wa tofauti, alinitafuta, nikamueleza yote, hakua na hiyana aliguswa pakubwa kwa namna ya pekee, nikiwa naishi ktk maeneo ambayo sio ya kawaida kwa waTanzania walio wengi,,,akaniamisha kutoka huko kusiko kwa kawaida na akanileta maeneo ya karibu na chuo cha sheria, akanipa msaada wa vyakula na mavazi (kama nilivyowai kuelezea hali ya kiuchumi niliyokua nayo baada ya kuhitimu degree yangu ya sheria na historia kiujumla).
Mambo mengi yalibadilika since alivyokuja, milango mingi ikaanza kufunguka... Yawezekana ile ikawa ni misaada ya kawaida tu kwa wengine, lakini ni wangapi wanaweza kua na moyo wa namna hio, tena kwa mtu usiemjua? watu wema bado wapo.
Ikumbukwe, hakuna aliefika juu kipekee yake tu, kila mtu alifika juu kwa sababu ya mtu au watu flani, lazima kuwe na chanzo, na mifano hai ipo;
Rais Magufuli aliwai kukili hadharani kua pasipo rais wa awamu ya Tatu bw. Ben Mkapa kukubali kupita jimboni kwake na kumpigia kampeni kwenye uchaguzi wa 1995 basi leo uenda asingekua popote.
Bila roho nzuri ya Rais Boris Yeltsin kukubali na kumteua mtu aliekua anatajwa kua na skendo ya ubadhilifu wa pesa za umma leo kusingekua na Rais Vlad. Putin, ni kuna watu ambao kwa mitazamo yao ubadilisha maisha ya watu wengine walio kwama na baadae kubadilisha jamii kabisa.
Kama una jihisi upo katika nafasi ambayo unaweza kubadili maisha ya watu wengine, fanya hivyo, jamii na nchi vitakushukuru daima, Malcom X ambae anatajwa kua mtu mweusi mwenye uwezo wa ajabu wa kujenga hoja na kushawishi watu kwa kiasi kikubwa, alikua ni muuza madawa tu mpaka siku alivyoenda jela na kukutana na mafundisho ya bwana Elijah Muhamad ambayo yalimbadilisha kutoka kua mbumbumbu mpaka 'genius wa dunia', na leo Malcom kaacha legacy kubwa sio yake tu bali ya Elijah Muhamad.
Yohana mbatizaji aliwai kusema anachonga njia kwa yule mfalme ajae (kristo), hata wewe unaweza kuchonga njia kwa watu wengine kwa nafasi uliyo nayo.
ni busara ukijua wewe kuna siku utakufa, sasa utakua umeacha legacy gani? saidia pale upatapo nafasi na uwezo, usijiforce kama hauwezi kusaidia kua mkweli na nafsi yako, kama tunaweza kununulia bia watu tusiowajua, kwanini tusiwape chochote hata wale watu wenye mahitaji makubwa.
upo hapo ulipo kwa sababu ya watu au mtu mwingine na kwa mapenzi ya Mungu, basi nawe ukiwa na uwezo unaweza kuwafanya watu wengi wawe pale walipo kwa kadri watakavyo jaliwa, na itakua faida kwako kiroho, kifikra, kimwili na hata kiuchumi hapo baadae, nani anajua?
Muandishi wa makala hii ni wakili anaetarajiwa kuapishwa mwakani, akiwa katokea ktk mazingira yasio simulika kiurahisi, na kwa kutumia jukwaa hili ameondolewa huko kwa namna moja ama nyingine. (na haiitaji msaada wowote kama wengi watakavyo fikiri).
Mungu mbariki Faiza Hassan.
Heri ya Mwaka Mpya
Bandiko hilo haliusiani na mimi, nimejigusia kidogo tu kama mfano halisia uliopo, maudhui makubwa ni namna ambavyo watu wanaweza kuwasaidia watu wengine kwa nafasi na walivyo jaaliwa.Kuna mziho mkubwa ambao umetwikwa na mazingira yako ya kushikwa mkono na watu.
Mambo la muhimu ya kujiuliza
1. ni kwa nini wewe ndo umesaidiwa?
2. unadhani hakuna watu wengine wenye uhitaji kama uliokuwa nao na wamehangaika kutafuta msaada na hawajapata?
3. Unadhani kuleta mrejesho hapa jukwaani ni namna bora ya kushukru?
4. Jukumu lako ni lipi?
..........
...:.....
Nakutakia heri katika safari yako ya maisha.
ameen.