lisu na chadema nilikua nawakubali sana bt nilikuja kuwadharau kwenye sakata la madini ambapo daily walikua wanalipigia kelele, serikali ilipolikabili badala yakuiunga mkono kama walivokua wanalisemea mwanzo wakahamia upande wa pili nakuwatetea wazungu, hapa ndo nilipata picha ya upinzani tulio nao.
Hahahahahaa,naona unajitekenya na kucheka mwenyewe!Hiyo picha ilipigwa asubuhi wakati watu ndio wanaanza kukusanyika!Picha ziko kibao wakati Lissu akihutubia,unajifanya kichaa!
Nimekwambia Zoom ile picha ambayo huamini ni ya jana naona unakwepa!πππ