Hapo ni dodoma leo hii 29.08.2020 asubuhi msululu wa malori yanashusha wana ccm kutoka mashambani, maana wakaazi wa mijini wamesusa kwenda kwenye mikutano ya ccm.Ziangalie vizuri utupe mrejesho ndio maana ilani haikusomwa!View attachment 1551526View attachment 1551527
Una utani nae maana kaanzisha mtindo huu Mmawia mawe ya nini sasa!#Niyeye[emoji23][emoji23]View attachment 1551530
Si kweli!Hapo ni dodoma leo hii 29.08.2020 asubuhi msululu wa malori yanashusha wana ccm kutoka mashambani, maana wakaazi wa mijini wamesusa kwenda kwenye mikutano ya ccm. View attachment 1551531
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu kubwa hawakuzindua ilaniAlitegemea wale waliokuwa wanakusanyika kipindi cha kutafuta wadhamini!
Nani wa kuiandaa!Aibu kubwa hawakuzindua ilani
Labda ushindi wa kupora haki za WatanzaniaNitetemeshwe na nini ushindi asubuhi!
Mimi ni kipara kipya mbwiga mbwiguke mkola wa nyani kibwaya mkia yupo clouds radio!
Una maanisha nni bwasheeNimegundua MaCCM Lissu anawauma sana
Hana jipya!Lissu hana uwezo wa kunadi sera,uwezowake ni wakuropoka hovyo.
Punguza kutetemeka basiMimi ni kipara kipya mbwiga mbwiguke mkola wa nyani kibwaya mkia yupo clouds radio!
Maaskini ndio uliobaki nayo haya seraaaaaaaaaa jukwaani!
Pumzi imekata eeh tupe sera lissu atafanya nini!
Watanzania wana akili wewe hawahitaji kujua damu umepata wapi sababu wao kila siku damu wanachangiwa na watanzania wenzao!
Nguvu ya wanachadema iko nyuma ya keyboards, zamani ilikua kura hawapigi ila mikutanoni wanaenda... sasaivi hata mikutanoni hawaendi
Sijui wanamtegea nani awajengee chama😁😁😁
Kudadadeeeeeeki bundle limekwishaaaaaaa!
Akiingia madarakani lazima awakamate majizi woote wa fedha za serikali na wanao wageuza Watanzania kuwa magunia kwa kuwasafirisha kwenye malori.Pumzi imekata eeh tupe sera lissu atafanya nini!
Nina mlaani sana aliye kupatia jero ya kununulia bundleMaaskini ndio uliobaki nayo haya seraaaaaaaaaa jukwaani!