Watu waoga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Jambaz mmoja aliwakamata mume na mke ili awauwe,kwanza likawaambia kabla cjauwa huwa napenda kujua jina la m2 nnaemuua.....akamshka mwnmke na kumuwekea kisu shingoni akamuuliza unaitwa nan? Mwnmke akajibu MARY,jambaz likasema we ctakuua kwa sababu jna lako ni kama la mamangu. Kisha akamshika mwnme na kumuuliza, na wewe unaitwa nan? Mwnme akajibu naitwa ANDREW ila kazn,mtaan,kijiwen hata nyumbani wananiita MARY!
 
huyo jibaba mtaalamu wa kunyumbulika!! aminia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…