Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 334
- 807
Sio kwamba tayari wana kazi maalum ndio maana wana survive mjini? Vyeo sio udc tuWana Tamaa ya kuteuliwa Hata UDC Ila serikali mpaka leo haijawaona naomba niwaorodheshe.
1.Harris kapiga
2.Mc pilipili
3.Masanja mkandamizaji.
4.Maulidi kitenge.
5.Mwijaku.
6.Shilole.
7.wema sepetu
8.Steven Nyerere.
Hawa ni watu wameonyesha nia kubwa ya uchawa na kupewa fadhila yoyote na CCM.
Umemsahau AYWana Tamaa ya kuteuliwa Hata UDC Ila serikali mpaka leo haijawaona naomba niwaorodheshe.
1.Harris kapiga
2.Mc pilipili
3.Masanja mkandamizaji.
4.Maulidi kitenge.
5.Mwijaku.
6.Shilole.
7.wema sepetu
8.Steven Nyerere.
Hawa ni watu wameonyesha nia kubwa ya uchawa na kupewa fadhila yoyote na CCM.
HahahaWewe lazima utakuwa mgeni hapa daslama tu......
Hao wote tayari wapo kwenye payroll kwa mlango wa nyuma