Kamanda wa anga kamaanisha Dr. Mihogo anayeishi Serena Hotel akipewa ulinzi maalum wa usalama wa taifa kajithaminisha kwa vipande kadhaa vya fedha na wale wataalamu wa kununua watu wenye thamani ya vijisenti au hela ya mboga washamuweka katika himaya yao.
Dr. Mihongo sasa ana kazi moja tu ya kula mihogo na kuongea na WATANZANIA wake kwa njia ya TV zote atakavyo nchi hii huku kauli zake zikishangiliwa sana na wale MAFISADI 10 waliopo kile chama cha zamani.