Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,400
pole sana Masu, pigeni ban watu kuja na viredio kwenye game... ndo kama wale wanaosimula matukio ya mbele kwenye sinema, kisa wameshaiona... utasikia; Vandame hapo ataruka ukuta; na kweli anaruka... yani watu wengine tabu kweli. Pole sana mkuu.

Haka katabia kanakera simchezo. Wewe ni fan wa liver?
Hao kwa kweli huwa wanakera sana, ila huo ni ushamba, kama mtu alitaka kusikiliza mpira ktk radio kwanini amekuja kuangalia. Hao wengi wao sio wapenzi wa mpira bali ni wale wacheza kamali ambao mpira wanashabikia kwa kuwa wamebet, maana shabiki wa ukweli hana mna wa kukatia denge kitu ambacho amefuata kuona kama naye yupo old trafford.