katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Mkuu Nokia yakweli haya?Ni wajanja sana wanajua kuchuna hata kwenye hali hii hawakosi chakuongea utatoa tu hela na vitu wanavyokuambia wala hutakataa .
Nakodi utalipa kabisa na hata ukitubania sisi akina katoto kazuri utatoa kwao.
Huna chakusema wewe unajikuta unatoa tu hela au chochote anachokitaka.
Hata ukiwa makini ukirudi kwake tu utatoa hela.
Halafu ikute ulimtapeli mkeo nahujampa matumizi.
Wao wanasifa zifuatavyo mdomo mtamu wanapendeza na wamejipanga so wewe unaingia tu kicha kichwa mpaka unakopa tu ili umfungulie biashara.
Nawengi wenu mnajikuta mmekuwa watumwa wa mapenzi
Humu mtaongea ila kweli watu humu mmechunwa mpaka basi.
Utatoa hadi hela ya gari asitembembee na miguu na pia utatafuta taxi ya hali ya juu utamtoa out za maana na wala yeye hataonja mateso kila siku.
Utajituma kama nini yaani huamini.
#tag IQ Zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchuna nitofauti na kupewa kama anakupa kwa hiari yake hujamchuna amekupaIQ ZERO shida yake papuchi na ana madau makubwa ndio maana totoz hazimtemi.
Naomba kuuliza mwanaume akikufanyia hayo yote ulioandika na papuchi umemgea itakuwa umemchuna?
au pengne kuchuna ina maana tofauti na mm navyojua!
Sent using Jamii Forums mobile app
HaaahaaKama kuna mwanaume anafanyiwa hivo na anacheka tu, huyo ni ZWAZWA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ni mzuri unajua wangeijua yako hata wanaume wangetishika .Wangekuwa wanakufahamu sura yako wangetema mate ptyuuu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ndio nampango huo naanza kampeni ila sio huku jamiiforum hamna dili mnanjaa sana mtanichakaza.Mbona kuna habari zimetapakaa mjini kwamba na wewe ni mmoja wao?
Sawa sawaNdio nampango huo naanza kampeni ila sio huku jamiiforum hamna dili mnanjaa sana mtanichakaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni radha ya papuchi tunazopewa huko nje kwa watoto wa mjiniNi wajanja sana wanajua kuchuna hata kwenye hali hii hawakosi chakuongea utatoa tu hela na vitu wanavyokuambia wala hutakataa .