Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Sep 29, 2013 #2 ha ha ha thubutu,akiweza kuchora mduara tu u should be happy!
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Sep 30, 2013 #3 englibertm said: Click to expand... Hii ndo elimu ya msingi! Tusishangae kwa nini wana uwezo wa kwenda kutalii kwenye sayari mbalimbali wakati sisi huku hata kulima mchicha ni mgogoro!
englibertm said: Click to expand... Hii ndo elimu ya msingi! Tusishangae kwa nini wana uwezo wa kwenda kutalii kwenye sayari mbalimbali wakati sisi huku hata kulima mchicha ni mgogoro!