Ukifuatilia data, mabint ndo wanaongoza kufaulu huko vyuoni. Akitoka kwako anaenda kwa mwalimu(lecturer), hujawah kuskia degree za ch....p mkuu? Jihadhari UKIMWI maana unaua, NI HERI KUOA AU KUOLEWA KULIKO KUWAKA TAMAA(mtume paulo)kwa mtu kama mimi ambaye damu inachemka na Kutojiingiza ktk masuala ya nyeto na ubakaji husiokusudiwa
vilevile Kutokana na huduma mbovuu za machangu Mixa kuwekeana madawa ya kulevya,
Huwa najiegesha kwa visichana vya chuo, Ili nami niwe na stori ya ujana pindi nikizeeka!
Kiukweli Pamoja na huduma wanayonipa hawa mabinti, Kuna jambo wanalonikera sanaaaa, Sasa nimechoshwa na Manyanyaso yao!
Unakuta umekesha nako Gheto mpaka asubuhi, Lakini kakajifanya kako fofofoooo.....Na ukicheki mda wa job ushafika!
Ukimuuliza kulikoni? eti "Niachie Funguo nikuandalie lanchi"
shit!! Yaani kanaanza kujivika u-first lady!!
Sasa sijui vinasoma mda gani hivi vibinti?
Badirikeni Ninyiii!
Na nawashangaaga hao visichana vinavyotembea na mtu kama wewe kha.
Hamia kwa mahausigeli....
akitumwa sokoni ndo anapata chance ya kupita kwako!!!!
Huo muda wa kutaka funguo hana........hope you will enjoy this!!!!!!!
Ukifuatilia data, mabint ndo wanaongoza kufaulu huko vyuoni. Akitoka kwako anaenda kwa mwalimu(lecturer), hujawah kuskia degree za ch....p mkuu? Jihadhari UKIMWI maana unaua, NI HERI KUOA AU KUOLEWA KULIKO KUWAKA TAMAA(mtume paulo)