Ninapozunguka vijijini huona huruma kiasi cha kutoa machozi, lakini nakumbuka kuwa machozi yangu hayawezi kuwaondoa watanzania kwenye dimbwi la umaskini huu wa kutisha. Hapa hapa Tanzania mbwa wa mafisadi wanalala pazuri, kunywa maji safi na kula chakula kizuri kuliko baadhi ya watanzania walioko vijijini. Halafu sisi tuendelee kukaa kimya kweli, wandugu wane, tukae kimya kweli.KAMA HATUNA SAUTI ZA KUSIKIKA BASI SAUTI ZETU ZISIKIKE KWA KUPIGIA KURA WATU SAHIHI WATAKAO SHUGHULIKIA MAFISADI AMBAO KWA MTAZAMO WANGU NI MOJA YA VYANZO VIKUU VYA UMASKINI HUU WA KUTISHA. POOR TANZANIANS IN A VERY RICH COUNTRY.