mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Duuh hii ni hatari. Kila nikitazama ii video uyo mama ananitia hasira sana. Yani kuna watu wengine unaweza ata ukachuma dhambi kwa kuwaombea kifoNdo maana kuna mgombea aliwahi kusema vipaumbele vyake vitatu ni elimu. Kuna maeneo ndani ya nchi hii unakuta watu wote kuanzia watoto hadi wazee wana akili moja. Wanaishi tu kama wanyama mwituni ili mradi wamekula na kujisaidia.
Mkuu unaisema kama umeifurahiaKanakatika hako.. !!
Mmhhh l don't know[emoji85] [emoji85]Mkuu unaisema kama umeifurahia
Dah poleMmhhh l don't know[emoji85] [emoji85]
Wale wazawa wa jiji kubwa hapa tz??Haya mambo yanasikitisha sana kwa jamii zetu hasa za huko .........
Na ukanda wote wa hukoWale wazawa wa jiji kubwa hapa tz??
Haha hawa watu nivery primitive asee bora wasu......Na ukanda wote wa huko