Mythbuster
Member
- Dec 12, 2010
- 92
- 50
Hizi elimu ni shidaMbunge wa Viti maalumu kwa tiketi ya CCM, Mh. Mary Mwanjelwa ametunukiwa na Rais wa Chuo cha United Graduate College & Seminary University, Prof Rivers mdigrii ya heshima ya Udaktari (PhD in Humanity),Katika sherehe iliyoudhuliwa na Dean of Students wa chuo hicho, Prof Ardenella Mich Pitz. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es salaam.
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba hizi degree zina walakini kwani hawa jamaa wanaonekana matapeli na wameshtukiwa hivi karibuni nchini Kenya na hata State wanayotoka huko Marekani imeshasema kuwa haiwatambui. Tafadhali ingieni kwenye link hizi mujionee; MBUNGE ATUNUKIWA DIGRII YA HESHIMA NA CHUO CHA MAREKANI - Global Publishers na YouTube - US commission disowns varsity
Inasikitisha sana viongozi wetu kuonekana wajinga hivi.
Kama uzi usingekuwa wa mwaka 2010, hii comment yako #2 isingekuwa yako bali ingekuwa ya JoseverestHizi elimu ni shida
HahahahaKama uzi usingekuwa wa mwaka 2010, hii comment yako #2 isingekuwa yako bali ingekuwa ya Joseverest
AiseehKama uzi usingekuwa wa mwaka 2010, hii comment yako #2 isingekuwa yako bali ingekuwa ya Joseverest
Na makaburi mengine yakifukuliwa huwa mjadala unakwenda kwa kasi kama sio kuangalia tarehe unaweza kudhani ni uzi mpyaMnafukua makaburi naona.