Watoa Degree fake kwa wakubwa sasa waingia Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoa Degree fake kwa wakubwa sasa waingia Bongo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mythbuster, Dec 21, 2010.

 1. Mythbuster

  Mythbuster Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mbunge wa Viti maalumu kwa tiketi ya CCM, Mh. Mary Mwanjelwa ametunukiwa na Rais wa Chuo cha United Graduate College & Seminary University, Prof Rivers mdigrii ya heshima ya Udaktari (PhD in Humanity),Katika sherehe iliyoudhuliwa na Dean of Students wa chuo hicho, Prof Ardenella Mich Pitz. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es salaam.

  N
  inachotaka kusema hapa ni kwamba hizi degree zina walakini kwani hawa jamaa wanaonekana matapeli na wameshtukiwa hivi karibuni nchini Kenya na hata State wanayotoka huko Marekani imeshasema kuwa haiwatambui. Tafadhali ingieni kwenye link hizi mujionee;
  MBUNGE ATUNUKIWA DIGRII YA HESHIMA NA CHUO CHA MAREKANI - Global Publishers na YouTube - US commission disowns varsity
  Inasikitisha sana viongozi wetu kuonekana wajinga hivi.
   
Loading...