Sunshow
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,140
- 395
Imekamilika kwa maana ya motor pamoja na pump.
Ilitengenezwa Hungary na ina uzito wa kg 100.
Motor ina specs zifuatazo:
Power: 5.5KW
Current: 11.8A max,
CosQ: 0.9-0.82
Efficiency: 89%
Rev: 3540/min
inatumia 3 phase
Inawafaa sana wenye car wash, guest house, mahotelini n.k. Ina uwezo mkubwa wa kuvuta maji kutoka ardhini umbali mrefu kwa kasi kubwa ndani ya muda mfupi.
Bei milioni mbili tu.
Kama unahitaji nitumie private msg.