Natanguliza shukraan!!
Wakuu naomba kujuzwa ni wap nitapata water filter zile ndogo ambazo zinaweza kuchuja kati ya lita 20-30 kwa siku!! Yahitajika kwa ajili ya matumizi ya nyumbani!! Kama itakuwa TULIP WATER FILTER itakuwa bora!! Niko dsm
samahan kwa usumbufu