Watengenezaji na wauzaji wa milango na vifaa vya milango.

REALWOOD LTD

Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
21
Reaction score
3
REALWOOD LTD, ni watengenezaji na wauzaji wa milango aina ya mbao na vifaa vya milango.
Tunatengeneza milango ya mbao ngumu tunatumia mbao ya mkongo (Hardwood)na milango ya mbao ya kawaida tunatumia mbao ya syplus (softwood).Pia tuna vifaa vya milango kama bawaba,digital locks na vitasa.
Kwa maelezo zaidi piga namba 0746 520 520 au tembelea showroom yetu ipo MWENGE,COCACOLA ROAD,JOSAM HOUSE, GROUND FLOOR.

NJOO UJIPATIE MILANGO BORA NA IMARA ... KARIBUNI WATEJA


750,000/= (mbao ya mkongo)​


750,000/=(Digital locks)​



750,000/=(mbao ya mkongo)​



960,000/=( mbao ya mkongo)​




380,000/= zote mbili (bawaba )​



10,000/= (bawaba) ,60,000/=(kitasa)


450,000/=(mbao ya syplus)​


1,500,000/= ( fingerprint lock)
​
 

Attachments

  • FMRN8655.JPG
    30.2 KB · Views: 111
Vizuri sana mkuu, pita pia na kwenye page maarufu huko instagram na fb, japo utalipia kidogo lkn utatangaza kwa wigo mpana zaidi mkuu.
 
Vizuri sana mkuu, pita pia na kwenye page maarufu huko instagram na fb, japo utalipia kidogo lkn utatangaza kwa wigo mpana zaidi mkuu.
naomba unielekeze kidogo kwenye page za instagram natakiwa niwatumie watu maarafu?
 
Kwamba hicho kitasa cha kutumia password ndio kinauzwa 1500000?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
750,000/= Digital locks ni sawa na mshahara wa jamaa mmoja ambaye juzi alianzisha uzi wa kuomba ushauri wa kujenga. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi nzuri mkubwa. Ofisi zinapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…