Habari wana JF,naomba msaada wa kuelekezwa au kuambiwa wapi naweza pata wateja wa Mbaazi hapa Dar es Salaam,Zipo 32 Tani,No yangu ya simu ni 0717332652.

achana na hao wanaokukatisha tamaa. nimekupigia cm sasa hv tumeongea zikifika nijulishe km mzigo uko pw tunachukua wote, na hata kama huko songea unatani zingine we lete tu

Pole Kaka kwa jibu moja lisilofaa ulilopata hapo juu. Kuwa mvumilivu, watu huku wana machungu ya kusaka ajira!
Pamoja na ofa nzuri toka kwa Mkuu Akiri, waombe wahusika wakuhamishie uzi wako kwenda kwenye Forum ya Matangazo Madogo. Utatakiwa vilevile uweke bei kwa kilo na mzigo ulipo!