Watch it im Jong-Un

Admin weka "K" hapo imesahaulika tafadhali
 
Yaani hawa ndiyo binadamu walio na IQ kubwa sana pamoja na kutengwa na dunia zaidi ya nusu karne lakini wameweza kuinyosha dunia ila sisi huku na kujitawala kote bado tunahamasishana jamani wananchi chimbeni vyoo daaah
 
Mkuu upo right kabisa. Hata juzi tarehe 15 kwenye gwaride la kijeshi nchini NK, jamaa ali display makombora ambayo hata wamarekani wenyewe walishindwa kuyatambua.

Mengi yalikuwa ni mapya kabisa. Na hicho ndio kitu kinachoinyima raha marekani.

Lakini tukija kwenye uhalisia wa hii vita endapo kama itatokea NK anaenda kutandikwa si kwa sababu ya teknolojia ama uwezo wa kijeshi, bali ni kwasababu ya intelijensia yake. Ushindi wa Marekani utaletwa na intelijensia yake iliyo komaa na kuwa na uzoefu mkubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…