ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
CCM ikiondoka uovu utakoma?Tuondokane na CCM kwanza.
Haya magari ni biashara kubwa sana za watu na kuna mikataba ya siri imefungwa kabisa, hivyo manunuzi yake yataendelea mpaka ccm itakapoanguka!Watawala mbingu haiwahusu ukatiri huu ata shetani hawezikuufanya. Mnanunua magari ya kifahari uku wenye nchi hawana maji vijijini, mnalazimisha wazazi kununua chakula mashuleni wakati kodi zetu mnanunulia magari ya mamilioni jamani mbona mmepitiliza?
Mnakuka kwa mikono miwili? Mtoto wa mlipa kodi mnamkalisha chini mnamnyima uji/chakula mnataka akikua awe Mzalendo! Uyu atakuwa katiri kama mlivyompandia mnaua watoto kisaikolojia mnaanda taifa la chuki na visasi mnaandaa kizazi katiri alafu ukistaafu unataka akuhudumie kama ni dakitari? Unataka amfundishe mjukuu wako kama ni mwalimu?
Unataka akulinde kama ni askari? Au athamini kodi zetu kama ni afisa forodha? Maana watoto wenu mmewaandali viti vyenu vya urithi na watoto wetu wawemadereva wenu au mabodaboda pasikuangalia Elimu yake.
Ivi mkitumia magari ya milioni 60 mtapungukiwa nini fedha nyingine mkazielekeza mashuleni kununua chakula cha watoto nchi nzima?
Wapo watoto walichaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari lakini walikosa michango, unifomu na vifaa vingine mnajua wako wapi? Kelele zilipigwa na wanasiasa ilo likapita kimia kimya. Ufahari ni kutembelea gari la milion 200 uku ukiomba msaada Ulaya wakujengee choo cha milioni 10? #tunatakaKatibaMpya.View attachment 2554497View attachment 2554498
Haya yote hapo nayoyaona yapo parking ya mtu mmoja au ya kikundi Cha watu?Watawala mbingu haiwahusu ukatiri huu ata shetani hawezikuufanya. Mnanunua magari ya kifahari uku wenye nchi hawana maji vijijini, mnalazimisha wazazi kununua chakula mashuleni wakati kodi zetu mnanunulia magari ya mamilioni jamani mbona mmepitiliza?