Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao na maeneo mengi na nimegundua watanzania wengi hawana mbinu za uandishi eidha kwa makusudi au kwakutokujua mfano:
Fedha=feza
Thamani=Samani
Mpira=Mpila
Teremka=Telemka
Basi=Bax
Pia wengi wamekuwa wakiandika jumbe ambazo mwishowe hazileti maana au mantiki na hivyo kumfanya msomaji kupuuzia ujumbe husika. Kunatakiwa jitihada kubwa sana kuwasaidia vijana kuweza kuandika kwa ufasaha.
Asanteni tujirekebishe
WatajeNa humu jf wapo wengi sana

Tofautisha kushindwa kujaza taarifa na kutojua kuandika.hao wanajua kuandika, sema hawafati kanuni za uandishi na kuandika kwa ufasaha.
Tembekea benki siku moja utacheka mtu yuko smart ila anakuomba umsaidie kuandika (kujaza) taarifa zake.
kundi kubwa hawajui/hatujui ama tunapuuza kuandika kwa ufasaha, huku kundi kubwa zaidi likiwa halijui kabisa kuandika hata A na a (soma A kubwa na a ndogo)