Nitachukulia jina lako la "Mwenezi ACT" kuwa kitu cha mchezo. Kama ni kweli, basi kazi ya uenezi itakuwa ngumu sana kwako hasa kama huwezi ukasema jambo na kulieleza kwa ufasaha na kuhakikisha linaweza kueleweka kwa wengi. Ni vigumu hata kujua unazungumzia nini.
Ushauri. Jaribu ku-proof read kabla huja-post!!