Uko sahihi kabisa watoto wa kenya watafutaji black beauty flani amazing na boob's saa 6 wenzao ulapa sjui wanakwama wapi na wanapenda kupewa hawapend kujitafutia

Umasikini mbaya sana. Hakuna mwanamke toka dunia hii ianze asiependa vitu vizuri duniani kote. Masikini mnaita kuonga matajiri wanaita zawadi kwa mwanamke wake.
Mimi nawashauri tutafute pesa tu